Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Panga safari yako kwenda Phoenix–Mesa Gateway Airport

Tupe maelezo machache kisha tutakutafutia usafiri wa kukupeleka katika uwanja wa ndege.

Panga safari yako kwenda Phoenix–Mesa Gateway Airport

Tupe maelezo machache kisha tutakutafutia usafiri wa kukupeleka katika uwanja wa ndege.

Panga safari yako kwenda Phoenix–Mesa Gateway Airport

Tupe maelezo machache kisha tutakutafutia usafiri wa kukupeleka katika uwanja wa ndege.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?
search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Kuwasili kwenye AZA Airport

Uwanja wa Ndege wa Phoenix-Mesa Gateway (AZA)
6033 S Sossaman Rd, Mesa, AZ 85212, United States

Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Phoenix-Mesa Gateway? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.

Muda wa wastani wa kusafiri kutoka Phoenix

Dakika 43

Bei ya wastani kutoka Phoenix

$57

Umbali wa wastani kutoka Phoenix

36 maili

Vituo vya mashirika ya ndege vya AZA

Tafadhali kumbuka kwamba baadhi ya mashirika ya ndege hutoa huduma katika vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya uwanja wa ndege ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.

Chaguo zako za gari za kwenda AZA

Utachukuliwa katika uwanja wa ndege wa Uwanja wa Ndege wa Phoenix-Mesa Gateway (AZA)

Itisha usafiri

Chagua aina ya gari linalotosha idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Angalia App ili upate maelezo

Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya usafiri unaoitisha. Fuata masharti kwenye App umkute dereva wako kando ya barabara au katika sehemu maalum ya kuchukuliwa.

Thibitisha mahali ulipo

Nenda kwenye eneo lililobainishwa la kuchukuliwa kama lilivyo kwenye App (tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe karibu zaidi na lango la kuondoka) Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia App.

Maswali makuu kuhusu AZA Airport

  • Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Hakikisha kuwa unaangalia makadirio ya muda wa kusafiri unapopanga ratiba ya wakati wa kuchukuliwa ili uweze kufika katika uwanja wa ndege kwa wakati unaofaa.

  • Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.

  • Nauli ya safari ya Uber kutoka AZA Airport inategemea hali kama vile aina ya safari unayoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, tozo za barabarani na uhitaji wa usafiri kwa sasa.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha unapoomba safari, utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.

  • Hapana, lakini unaweza kuona chaguo nyingine za maeneo ya kushukishwa punde tu utakapotoa maelezo ya safari yako hapo juu.

  • Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.