Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Ukurasa wa Kwanza > Usafiri > Uwanja wa Ndege > DAR > Eneo la kuchukulia

Omba kuchukuliwa kutoka Dar es Salaam Airport

(Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere)

Tupe maelezo mfupi kisha tutakutafutia usafiri wa kukupeleka kutoka uwanja wa ndege.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Chaguo zako za safari kutoka DAR

Chaguo za safari kwenye ukurasa huu ni sampuli ya huduma za Uber na huenda baadhi yake zisipatikane mahali ambapo unatumia programu ya Uber. Ukiangalia ukurasa wa wavuti wa mji uliko au uangalie kwenye programu, utaona safari unazoweza kuomba.

Chukua msafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (DAR)

Fungua programu yako ili uombe safari

Chagua gari linalotoshea idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Fuata maelekezo kwenye programu

Utapata maelekezo kuhusu maeneo ya kuchukua wasafiri moja kwa moja katika programu. Pia kunaweza kuwa na mabango katika uwanja wa ndege.

Kutana na dereva wako

Nenda katika eneo la kuchukuliwa jinsi ilivyobainishwa katika App. Tafadhali kumbuka, eneo hilo huenda halitakuwa karibu kabisa na lango unaloondokea. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia App.

Maelekezo ya kwenda eneo la kuchukuliwa

Tayari umeomba safari yako? Fungua programu ili upate maelekezo sahihi ya hatua kwa hatua ili ukutane na dereva wako nje.

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu kuchukuliwa katika Uwanja wa Ndege wa DAR

  • Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye programu kuhusu mahali pa kukutana na dereva wako. Unaweza pia kutafuta ishara zinazoonyesha maeneo ya kusafiri pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

    Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

  • Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa DAR inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.

  • The luggage capacity varies by Uber ride type. For example, an UberX ride can usually hold 2 suitcases while an UberXL ride can usually hold 3 suitcases.*

*Hatukuhakikishii nafasi ya kuweka mizigo na inategemea idadi ya abiria katika safari yako na aina ya gari. Unapounganishwa na dereva, tunapendekeza uwasiliane naye kupitia programu ili uthibitishe.