Tunakuletea Uber Eats Pro
Tunafurahi kukujulisha kuhusu Uber Eats Pro, mpango mpya wa zawadi ambao umezinduliwa ili kukusaidia kufikia malengo yako—ukiwa au usipokuwa barabarani. Unaweza kupata pointi kwa kila safari unayokamilisha ili ufurahie zawadi murua. Tutazingatia vigezo na masharti ya ziada.¹
Get more from delivering
With Uber Eats Pro, you have the opportunity to unlock new rewards as you reach higher status. Additional terms apply.¹ Rewards could include:
Your tuition, covered
Get 100% tuition coverage² at Arizona State University Online for you or an eligible family member toward an undergraduate degree or courses in entrepreneurship or English.
Discounted car maintenance
Save as much as 25% on car maintenance if you sign up for CarAdvise. Search and compare prices at more than 20,000 shops to find a discounted deal.
More cash back on gas
Unlock up to 5% cash back at any gas station when you use the Uber Visa Debit Card.³
Utaratibu wake
Pata pointi
Safirisha chakula kwa kutumia Uber Eats ili upate pointi. Baadhi ya fursa za usafirishaji huweza kukupa pointi zaidi.
Ipe migahawa na wateja huduma bora
In addition to earning points, you can unlock more rewards by keeping your satisfaction rating from restaurants and customers at or above 95%.
Pata zawadi
Kadri hadhi yako inavyoimarika, ndivyo unavyopata zawadi zaidi. Pointi na hadhi yako hupimwa kwa muda wa mwezi mmoja ili kubaini hadhi na zawadi zako za mwezi ujao.
Pata zawadi zaidi haraka
Pointi 1 kwa kila usafirishaji uliokamilisha
Pointi 2 wakati wa chakula cha mchana kuanziaSaa 6 mchana hadi saa 8 mchana
Pointi 6 wakati wa chakula cha jioni kuanziaSaa 11 jioni hadi saa 3 usiku
Huduma bora kwa migahawa na wateja hukusaidia kupata zawadi zaidi
When you earn points and maintain at least a 95% rating from restaurants and your customers, you can unlock Gold, Platinum, and Diamond status and continue receiving rewards.
Pata pointi katika mwezi mmoja na ufurahie zawadi katika mwezi unaofuata.
You earn points during fixed one-month periods. Points reset after each calendar month.
When you earn enough points to unlock the next level of reward, you can start enjoying your new rewards right away. Keep your ratings by restaurants and customers and your points high to maintain your Gold, Platinum, or Diamond status and continue enjoying rewards until the end of the following month.
Built for and tested by couriers
Your feedback will help us shape Uber Eats Pro. This program may change as we make improvements before expanding Uber Eats Pro.
Maswali yanayoulizwa sana
- Je, mpango huu unapatikana katika eneo langu?
Kwa sasa, mpango huu uko katika awamu ya beta na unajaribiwa na watumiaji mahususi katika maeneo mbalimbali. Angalia App ya Uber Driver ili uone kama mpango unapatikana.
- Nifanyeje ili nitumie hadhi yangu ya Uber Eats Pro?
Down Small Utapata pointi katika vipindi maalum vya mwezi mmoja. Pointi huwekwa upya baada ya kila mwezi wa kalenda.
Ukijipatia pointi za kutosha kufikia kiwango kinachofuata cha zawadi, unaweza kuanza kupokea zawadi mpya papo hapo. Dumisha tathmini unazopewa na migahawa na wateja na pointi za juu ili ufurahie hadhi yako ya Gold, Platinum au Diamond na uendelee kufurahia zawadi hadi mwisho wa mwezi unaofuata.
- Ninaendesha gari kwa kutumia Uber na kusafirisha chakula kwa kutumia Uber Eats. Je, ninapaswa kuwa katika Uber Pro au Uber Eats Pro?
Down Small Kama pia unaendesha gari kwa kutumia mfumo wa Uber, huenda umetimiza vigezo vya Uber Pro badala yake — angalia maelezo ya mpango hapa .
¹Zawadi za mipango zinabadilika na hutegemea eneo. Angalia App ili uone ofa zinazopatikana. Zawadi zinazoelezewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika miji yote ambako Uber Pro inapatikana. Uber haitawajibikia ofa, bidhaa na/au huduma za washirika wengine. Angalia vigezo na masharti ili upate maelezo kamili.
Kuhusu