Sehemu za kuchukuliwa
Chaguo za maeneo ya kuchukuliwa zinazokufikisha kwa haraka
Uko kwenye mtaa wenye shughuli nyingi? Uko kwenye jengo lenye maeneo mengi ya kuingia? Popote ulipo, App inakuelekeza kwenye eneo la kuchukuliwa lililo salama zaidi na kufikiwa kwa haraka, ili uweze kuondoka kwa urahisi na haraka.

Umuhimu wake
Wasili haraka
Amini App ikupendekezee maeneo salama ya kuchukuliwa, haswa katika maeneo yenye shughuli nyingi ambapo inaweza kuwa vigumu kupata dereva wako.
Epuka maeneo yasiyoruhusiwa
Usalama kwanza. App huonyesha maeneo yaliyodhibitiwa au yasikoruhusiwa kuchukulia wasafiri, ili uweze kufanya uamuzi wa busara unapoweka eneo lako la kuchukuliwa.
Utaratibu wake
1. Fungua App yako
Bonyeza Ungependa kwenda wapi? kisha ujaze mahali unakoenda.
2. Chagua aina ya usafiri
Thibitisha safari yako kwa urahisi.
3. Epuka maeneo yasiyoruhusiwa
Usalama kwanza. App huonyesha maeneo yaliyodhibitiwa au yasikoruhusiwa kuchukulia wasafiri, ili uweze kufanya uamuzi wa busara unapoweka eneo lako la kuchukuliwa.
Maswali yanayoulizwa sana
- Je, ninaweza kuchagua eneo tofauti na lile lililopendekezwa?
Ndiyo. Sogeza kipini katika eneo ambako ungependa kuchukuliwa.
- Kwa nini eneo jekundu kwenye ramani haliniruhusu kuweka kipini cha mahali?
Down Small Baadhi ya sehemu zina maeneo ambako hakuruhusiwi kuchukua wasafiri. Kunaweza kuwa na hali ambapo App itazuia na kuangazia eneo ili kuashiria kuwa kipini kinafaa kuwekwa katika eneo tofauti.
- Ninaweza kubadilisha mahali nilipo baada ya kupaweka?
Down Small Ndiyo. Badala ya kughairi ombi lako, badilisha tu eneo lako. Andika anwani mpya au uburute kipini chako cha mahali na ukiweke katika sehemu ya ramani, kisha uthibitishe. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kubadilisha eneo lako hapa.
Faidika zaidi kutokana na safari yako
Baada ya safari yako
Pakua App na uweke mipangilio ya akaunti yako ili uwe tayari wakati ujao utakapohitaji usafiri.
Waalike marafiki zako watumie Uber na watapata punguzo la $15 kwenye safari yao ya kwanza.
Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.
Kuhusu
Chunguza
Viwanja vya Ndege