Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Endesha gari ukitumia Uber

Jipatie pesa kulingana na ratiba yako

Endesha gari unapotaka

  • Pata pesa wakati wowote, mahali popote

    Unaweza kuendesha gari na kutengeneza pesa nyingi utakavyo. Na, jinsi unavyoendesha gari zaidi ndivyo utakavyotengeneza pesa nyingi. Pia, nauli zako zitawekwa kwenye akaunti kila wiki.

  • Weka ratiba yako mwenyewe

    Endesha gari wakati unaotaka. Hakuna ofisi wala msimamizi. Fungua na ufunge kazi unapotaka kwa sababu katika Uber, ni wewe unajisimamia.

  • Usalama barabarani

    Uber imejitolea kuimarisha usalama wa watu barabarani. Teknolojia yetu inatusaidia kuzingatia usalama wa madereva kabla ya safari, wakati wa safari na baada ya kila safari.

1/3
    Chagua lugha ambayo unapendelea
    EnglishKiswahili